Aina za Nafsi
Wachambuzi
Waasisi
INTJ-A / INTJ-T
Wabunifu, wafikiriaji wa kimkakati, wenye mpango wa kila kitu.
Watu Mantiki
INTP-A / INTP-T
Wavumbuzi wabunifu wenye kiu kisichokwisha cha ujuzi.
Waamurishaji
ENTJ-A / ENTJ-T
Wajasiri, wabunifu na viongozi wenye dhamira imara, wanaotafuta namna wakati wote – au kuunda moja.
Wajadili
ENTP-A / ENTP-T
Werevu na wadadisi ambao hawawezi kukataa changamoto za uwezo wa kufikiri.
Wanadiplomasia
Watetezi
INFJ-A / INFJ-T
Wapole na wa siri, lakini hutia watu moyo sana na wadhanifu wasiochoka.
Wapatanishaji
INFP-A / INFP-T
Watu wa kishairi, wema na wangwana, huwa tayari kusaidia kazi nzuri.
Waongozaji
ENFJ-A / ENFJ-T
Viongozi wenye karama na kutia watu moyo, wanaoweza kuwafadhaisha wasikilizaji wao.
Wafanya Kampeni
ENFP-A / ENFP-T
Watu wenye shauku, wabunifu na nafsi huru ya kijamii, wanaoweza kuwa na sababu ya kutabasamu.
Waangalizi
Wataalamu
ISTJ-A / ISTJ-T
Watu wa vitendo na wanaopenda ukweli, ambao uaminifu wao hauwezi kushukiwa.
Walinzi
ISFJ-A / ISFJ-T
Walinzi waliojitolea na wakunjufu, walio tayari kulinda wapendwa wao.
Watendaji
ESTJ-A / ESTJ-T
Wasimamizi bora, wasio na kifani katika usimamiaji wa mambo – au watu.
Mabalozi
ESFJ-A / ESFJ-T
Wanaojali, wanaopenda kuingiliana kijamii na walio maarufu kupindukia, wanaopenda kusaidia.
Wachunguzi
Weledi
ISTP-A / ISTP-T
Wajasiri na wa vitendo wanaopenda kufanya majaribio, weledi wa kutumia aina zote za vifaa.
Wapenda Matukio
ISFP-A / ISFP-T
Wasanii wacheshi rahisi kubadilika, walio tayari kupekua na kufanya mambo mapya.
Wajasiriamali
ESTP-A / ESTP-T
Werevu, wenye bidii na wafahamivu sana, wanaofurahia matukio hatari.
Waburudishaji
ESFP-A / ESFP-T
Waghafla, wenye bidii na shauku – maisha hayachoshi ukiwa karibu nao.